Deuteronomy 6:10

10 aWakati Bwana Mwenyezi Mungu wako atakapokuleta katika nchi aliyowaapia baba zako, Ibrahimu, Isaka na Yakobo, kukupa wewe, nchi kubwa, ina miji inayopendeza ambayo hukuijenga,
Copyright information for SwhKC